The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hah apo sawa.!Hahah! Nakutaka radhi mrembo wangu, sema hongera pia maana hayo madude sio mazuri kabisa
Tulikuwa na rafiki yetu mmoja akiona jua limezama tu, anaanza kusema its killytime[emoji481][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app