The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hah apo sawa.!Hahah! Nakutaka radhi mrembo wangu, sema hongera pia maana hayo madude sio mazuri kabisa
habari za huku ni mbaya...... usiniulize chanzo cha ubayaPunguza porojo zako sasa maana ukishaanzaga kuongea humalizi leo...
Habari ni gani huko?
Hahah! Ndio hivyo nasikia wadau huwa wanapata kabisa kiu mpaka wapige kadhaa ndio akili ikae sawaHah apo sawa.!
Tulikuwa na rafiki yetu mmoja akiona jua limezama tu, anaanza kusema its killytime[emoji481][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya sikuulizi ila pole hayo mabaya yataisha tuhabari za huku ni mbaya...... usiniulize chanzo cha ubaya
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]naona unajitoaHahah! Ndio hivyo nasikia wadau huwa wanapata kabisa kiu mpaka wapige kadhaa ndio akili ikae sawa
thanks,Aya sikuulizi ila pole hayo mabaya yataisha tu
ππ Sihusiki aki tena...... naomba na mimi kutakwa radhi hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]wakati naskia wewe ushavuka level ya KB[emoji3][emoji3] Sihusiki aki tena...... naomba na mimi kutakwa radhi hapa
Killy ni Jamaa fulani hivi kabarikiwa sauti na utunzi wa mashairithanks,
huyo kelly sijui killy ndio nani?
ushamba mzigo
Scandal hiyo π[emoji23][emoji23][emoji23]wakati naskia wewe ushavuka level ya KB
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehe, unasaliti chama..Scandal hiyo [emoji23]
Kiuhalisia sigusi kabisa hayo madude kwanza machungu bora juice tu
Sijawahi kuwa member huko embu nitake radhi ya pili π