Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Nani anaficha nywila yako??MU wakipigwa bao nistue, tafadhali! 🙂
Kuna mademu makauzu. Yaani kachukua simu yangu kaweka hii App. Sio mara ya kwanza, alipoweka first time nikajua inejidownload nikaitoa. Leo kaiweka kanielekeza matumizi kabisa. Hataki usimbufu.
View attachment 1306609
Inahusu nini hii appKuna mademu makauzu. Yaani kachukua simu yangu kaweka hii App. Sio mara ya kwanza, alipoweka first time nikajua inejidownload nikaitoa. Leo kaiweka kanielekeza matumizi kabisa. Hataki usimbufu.
View attachment 1306609