Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Arsenal ilipata pigo baada ya Chambers kuumia itaingia mwaka 2020 ikiwa nyuma kwa pointi 11 kwa Chelsea inayoshika nafasi ya nne, pia wakiwa hawajashinda kwenye uwanja wa nyumbani tangu Oktoba 6.