Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Aisee hata tabasamu la kinafiki kashindwa😄😄Sijui kuna shida gani kwenye hizi ndoa?!! View attachment 1306701View attachment 1306702
Sent using Jamii Forums mobile app
☀️☀️
Nani anaijua ile avatar yangu ya zamani bi harusi kanunaaa....nimeitafuta nimekosa kabisa yaniAisee hata tabasamu la kinafiki kashindwa[emoji1][emoji1]
Mimi ninayo mpendwa una sh.ngapi tufanye biasharaNani anaijua ile avatar yangu ya zamani bi harusi kanunaaa....nimeitafuta nimekosa kabisa yani
Sent using Jamii Forums mobile app