Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 480
Inapendeza carba, nmefurahi kuona u mzima kabsa...Mie nashukuru Mungu kwakweli,uzima upo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusalimia TH...U mzima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mkorofi sana,nakuona kwenye ule uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nialike tu maana napenda kula uwii😉The Happiness hii ndo plan ya mkesha[emoji23][emoji23]View attachment 1307677
Sent using Jamii Forums mobile app
Napokea salam, Pacha wake Yooo😄....Mi mzima hofu kwako!Nakusalimia TH...U mzima?
Au ndio bibi harusi?[emoji23][emoji23][emoji23]eti binti...sema bibi
Mie mzima sijui weye
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 jamani
Hizi mbegu za miraa wallah!Rihanna ana tuzo kibao,Pesa nyingi sana na ni star.
Akisalitiwa na mpenzi wake akiombwa msamaha anaelewa na kutulia Shida ipo kwako
ATUPELE MWAKITOPOLI unamiliki TECNO chaji hadi ukunje ndo ipeleke,Imetokea ukasalitiwa unaombwa msamaha unaanza kuvimba.
Who are you in this Atmosphere?