moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilikuwa chimbo kwenye kamati bro.. hatoki mtu tarehe 04
Nilikuwa chimbo kwenye kamati bro.. hatoki mtu tarehe 04
[emoji28][emoji28][emoji28] ndio bro [emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro unaongoza kamati ya ufundi ya Yanga?
[emoji28][emoji28][emoji28] ndio bro [emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] asante bro[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakutakia heri bro timu yako ipate ushindi
Kwani ulishafanikiwa nguo za watoto za sikukuu?
Mzee mwenzake, hii suti ni matokeo ya ukimya eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23] asante bro
Ha ha ndio mzee mwenzake,2020 kama imeniinua flani hiviMzee mwenzake, hii suti ni matokeo ya ukimya eeeeh
#KurudiKwaKishindo
Hahah! Mzee mwenzangu nafanya vitu adimu lakini cha ajabu wakala hanizingatii kabisa, hii inakatisha tamaa ndio mana watu tunaachaga soccer kabisa 😀😀Mzee mwenzangu...naziona harakati [emoji28]