andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ahsante Ankoo.Heri ya mwaka mpya ankoo
Nakuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu. Mengine yatakuja yenyewe tu.
#Uoesasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Ankoo.Heri ya mwaka mpya ankoo
Pamoja binti mpole, binti mwenye sura yake kutoka kule kwa Kagame..
Nakazia kwenye # hapoAhsante Ankoo.
Nakuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu. Mengine yatakuja yenyewe tu.
#Uoesasa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja binti mpole, binti mwenye sura yake kutoka kule kwa Kagame..
Anko Habari yako na hapo nyumbani kwa ujumla?Mkuu Mungu akubariki sana.
Uwe mwaka wa mafanikio ukaweze kukidhi hitaji lako [emoji120][emoji120]
Mimi tayari michepuko yangu imeanza kukumbushia balance zao zilizo kuwa zimebaki kumalizia.
Mungu akatujaalie michepuko(wamiliki wa shule) yetu ikanogewe na maneno yetu matamu ya kujitetea ili siku ziendelee kusonga mbele.
Happy new year JIRANI Mzee wa pipi [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteni sana mzee mwenzake.Heri ya mwaka mpya mzee mwenzake!!
😀😀😀
🙏🙏🙏🙏
555555555The number 5 is pronounced 'ha' in Thai so "555" is slang for "hahaha."
Sent using Jamii Forums mobile app
555555555555555!555555555
Happy new year to you too bro.Happy new Year Bro
Mlugaluga wa Nansio [emoji137][emoji137][emoji1][emoji1][emoji1]Happy New Year, Poti! YEGO bado ni yule yule bana, hajabadilika; na wala hakuna aliyenyakua nywila yake. Tatizo ni kwamba anahangaika na mitumbwi yake tu aisee! [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteni sana mzee mwenzake.
Kheri ya mwaka mpya na kwako pia!!Mungu ajalie ukawe mwaka wenye baraka na mafanikio mengi zaidi.
Hii ndio ile tunasema mchezaji amefanya Interception sio?
5555555 wish you bestHappy new year to you too bro.
Wishing you the best.