Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nimeamka nakuta hiyo 108k108k??[emoji44][emoji44]
Ulienda kufukuzia totoz hukupata huko mkuu? carba kashapotelea kwa coleTayari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yani kupotea mi jana tu narudi carbamazepine nae kapotea.
Watu wako speed sana kwakweli inavutiaNimeamka nakuta hiyo 108k
Ila methali zako hizo we hatari zingine ndio naziona kwa first timeMethali hizo nina C&P
Mzungu alichangia kuziweka pamoja pia...
[emoji276] [emoji276]Furaha yangu haina kikomo kukuona.
carbamazepine kisa hasira anataka kulipa kisasiHahahaha utajinyonga usimuache
Nshakaribia mkuu...Nimekaribishwa na likes za kutosha...This is our family.Karibi sana mkuu.
Karibu seat ya mbele huku
Morning kiongoziMorning wadau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jana ulibebishwa hukoo,Cole akafanya mambo huku. Kuwa mvumilivu,Cole hatadumu sana,akipona tu huyooo Masakiiii[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tayari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
andjul njoo tuanze kusoma mchezo
na haka kalikizo ka siku tatu huu uzi utakimbia kwa speed ya ajabuWatu wako speed sana kwakweli inavutia
Kweli kabisa mkuuNshakaribia mkuu...Nimekaribishwa na likes za kutosha...This is our family.