Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Toa likes upate likes
Jamaniiiii...ndio maneno gani hayo uliyo tumia? Kwani "mambo" imepigwa marufuku kutumika?Usinizeshe mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo kaka[emoji13][emoji13]
[emoji7] [emoji7]
Hahahaha kawaida tu mkuu.Kwema mwamba naona umeingia kwa fujo
Marahaba carba wangu,niaje mama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo kaka[emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaniiiii...ndio maneno gani hayo uliyo tumia? Kwani "mambo" imepigwa marufuku kutumika?Usinizeshe mwenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ni kweliToa likes upate likes
Et kisa wewe.Aiseeeh?kwahiyo umeachika kwa mara nyingine??[emoji134][emoji134][emoji134]
Salama tu sijui birthday girl hali yake hajakatiza humu leo....mwambie mi nishavaa nguo ya sikukuu niko tayar kwa kukata keki[emoji6]Marahaba carba wangu,niaje mama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mayoooòoòoo kumbe mimi ndo nimevunja ka ndoa kakoEt kisa wewe.
Maana sammyluv aliona moyo wangy umeibiwa na wewe
Kama unaniona vileHahahaha kawaida tu mkuu.
Naona unapiga kikombe cha chai ya like asubuhi asubuhi
[emoji15] [emoji15]Hahahaha utajinyonga usimuache