carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni ukosefu wa experience tu maana ulimpiga vitu domestic, ukapiga vya kimataifa mara ukarudi Rwanda alafu ukarudi tena nyumbani back to back, basi mzee mwenzangu anagonga tu likes bila kujua
Umenifanya nimkumbuke Bradha alivyopoteana siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app