carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni ukosefu wa experience tu maana ulimpiga vitu domestic, ukapiga vya kimataifa mara ukarudi Rwanda alafu ukarudi tena nyumbani back to back, basi mzee mwenzangu anagonga tu likes bila kujua
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mwenzangu, umeona ww?nifanyie mpangoNaona tu baraka za mwaka mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaomba na user name basi
[emoji23][emoji23][emoji23] sio fresh aise
Kama hukuzaliwa na kupaji kama mimi na TH basi inahitaji upitie kozi fupi ili kuweza kung'amua baraka zitolewazo humu ndani 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nimkumbuke Bradha alivyopoteana siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndio aliponipoteza bro, nmebak nmeduwaa Rwanda, kumbe kashusha back to back ya ukweli kabsaTatizo ni ukosefu wa experience tu maana ulimpiga vitu domestic, ukapiga vya kimataifa mara ukarudi Rwanda alafu ukarudi tena nyumbani back to back, basi mzee mwenzangu anagonga tu likes bila kujua
[emoji2][emoji2][emoji109]Tunaomba na user name basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio fresh aise
Hata akisema uhamie Juventus unakubari Bro?
Nilikuwa nasubiri utoe location
Naona umeleta ujanja wako[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy New Year 2020 for Barcelona and Barcelona Fans all over the World
anamuogopa lionel messiUnaandika post hii huku ukiwa unatetemeka
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama hukuzaliwa na kupaji kama mimi na TH basi inahitaji upitie kozi fupi ili kuweza kung'amua baraka zitolewazo humu ndani [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najua hauwezi broBro umestukiza hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unaendeleza kipaji cha ujanja[emoji16]Wewe mwenye nyumba nakupaje location sasa