Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hizi ni dalili za mwendokasi, umeshaondoka?
Mkaniacha hadi mimi bro??Hahah! Yaani vile vile kama Bradha tu siku ya kwanza....
Taratibu tu bro utaelewa
Upo Anne?
AmenUpo Anne?
Kheri ya mwaka mpya.
May 2020 bring the best in your life!!
Hebu tubariki basi mtani.
Wabeja sana.Amen
Namshukuru Mungu nimevuka ,umevuka pia.
Natamka mafanikio na baraka za Mungu juu yako[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe leo siupo na mambo zingi bhanaMkaniacha hadi mimi bro??
Haukubeba take away?😁😁😁
Safi, nitakutafuta😀😀😀Wewe leo siupo na mambo zingi bhana
#TAmuhimubro
😀😀😀Safi, nitakutafuta😀😀😀
hatujaziandikaZa mwaka jana wapendwa wangu
Ziandike sasa kuna habari njema kwa wala Urojo.hatujaziandika
Hata uhai huu sikustahili
Za mwaka jana wapendwa wangu
Pole sana mpendwa umeenda hospital kucheki nini tatizo