Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuwa kwangu mahmumu,wewe isikusumbue
MOYO WANGU!
Nanena na moyo wangu,kipenzi cha wangu mwili
Vilivyo navyo wenzangu,vya tunu na ghali ghali
Dawa yangu sio ngumu,mimi kupendwa na wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mama weee!Bora niwe chakaramu,nipigaye watu mawe
itakuwa lionel messiJamaa gani huyo amedondokewa
Kama mahaba wazimu,sihitaji nitibiwe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dahWewe leo siupo na mambo zingi bhana
#TAmuhimubro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coleeeeeTa Ta Ta Tayari Tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchokozi weweitakuwa lionel messi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daahmama weee!
hayo mahaba yatakapo sababisha uwe chakaramu tafadhali usije ukazivua nguo zako mbele ya hadhara..
rusha mawe yako weeee mpaka uchoke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CR7Jamaa gani huyo amedondokewa
Jamaa huyo anafaidi kweli Aisee