Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa maana hiyo ni tatizo siriasi lakini lina ufumbuzi wake. Hakuna aliyezaliwa na kuanza kutembea moja kwa moja, vile vile kuingia kwenye uhusiano ukawa hujui lolote siyo tatizo ila unachotakiwa kukifanya ni kujifunza.
 
Ugoigoi faragha kwa mwanamke ni chanzo cha wengi kusatiliwa, tena utasalitiwa zaidi kama kila siku utakuwa ni mtu yule yule, yaani hujifunzi chochote. Mwanamke lazima awe mbunifu kwa mpenzi wake, abuni mbinu za kumdatisha ili kuhakikisha haachwi kirahisi.
 
Unapobaki kujisifia kuwa wewe ni mzuri wakati huna mashamsham yoyote itakuwa ni kazi bure. Matokeo yake sasa utashangaa mpenzi wako anakwenda kwa mwingine ambaye ukimuangalia na kujilinganisha na wewe, unaanza kujiuliza, hivi alichokifuata kwa yule ni nini ?.
 
Back
Top Bottom