MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Pole sana mpendwa umeenda hospital kucheki nini tatizo
Kula machungwa kwa wingi inshaalah Mungu akusaidie uponeSijaenda mkuu .naamini litaacha nikizidiwa nitaenda kuepuka usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula machungwa kwa wingi inshaalah Mungu akusaidie upone
umeona hilo jina lake?Sijaenda mkuu .naamini litaacha nikizidiwa nitaenda kuepuka usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli ni mnywaji wa pombe ukute maini yameungua sorry MLEVi Mmojaumeona hilo jina lake?
jamaa anakunywa maji kuliko samaki
[emoji120][emoji120]Hata uhai huu sikustahili
Ninakushuru MUNGU Tena sababu ya vingi,
Hata nikiwa nasali unajua namaanisha[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana ulikunywa?Sijaenda mkuu .naamini litaacha nikizidiwa nitaenda kuepuka usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niitizame leobaba,mama, kaka, dada...
ni wanyonyaji kuliko mbu wa malaria