Heri ya mwaka mpya wanajf wote
Huyu ni Ally Kiba?
Treach + Vin Rock
HapanaHuyu ni Ally Kiba?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana sio kutekwa mbona unalazimisha nitekwe wakati nipo huru tu [emoji3]....
Ila ndio tayari tupo pamoja hivyo majukumu yameshuka sana
Toa baraka basi[emoji7]soulmate akeSiku kama hizi ndio siku za kutoa baraka sasa
😂😂😂😂 dah! Unavyopamba sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Unavyopamba sasa
Kwani tupo wangapi humu?
Kwani tupo wangapi humu?
Sana tu mrembo wetu, vipi za kwako?
Kama poa basi Habari njema hizo...Huku poa sana
Naona tupo mimi na wewe pamoja na mods
#ilawachunguliajihawakosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo raia huwa hazikosekani[emoji16][emoji16]Kama poa basi Habari njema hizo...
#HaowachunguliajiSioPoa
[emoji3]