Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika msimu wa mwisho wa Guardiola akiwa na Bayern Munich, klabu hiyo ilikuwa na wastani wa kumiliki mpira kwa asilimia 71, lakini msimu uliopita ilimiliki mpira kwa asilimia 57 tu, Liverpool walichukua taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita wakiwa na wastani wa kumiliki mpira kwa asilimia 51 tu, wakati msimu wa 2009 – 10 walikuwa na wastani wa kumiliki mpira kwa asilimia 61 na hawakuchukua kitu.
 
Mfano mzuri kocha mkubwa na bora Marcelo Bielsa ambaye ni muumini wa soka la pasi fupi fupi (tiki-taka), yuko Ligi Daraja la Kwanza England anapambana kuipandisha Leeds United, wakati kwa wasifu wake alitarajiwa kuwa anakula maisha kwenye klabu kubwa Ulaya.
 
Fanya hima babe,


#shetaniananiita[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
#shetaniashindwekwakweli
Ila hii itakufaa
20191109_173952.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata Bielsa ana timu ya kufundisha, kwa upande wa Jorge Sampaoli hana hata timu licha ya kuwa na wasifu mkubwa alionao, Lakini, pia kustaafu kwa kocha kama Louis van Gaal ambaye alikuwa muumini wa tiki-taka, na wachezaji kama Xavi Hernandez kumeendelea kuipoteza tiki-taka taratibu kwenye ulimwengu wa soka.
 
Mfano mzuri ni Jurgen Klopp wa Liverpool soka lake la kushambulia kwa kasi na kutegemea zaidi wachezaji wenye kasi kubwa linaonekana kutawala England na Ulaya kwa sasa, huku Zinedine Zidane naye akitwaa mataji kadhaa ya Ulaya na kutesa Hispania akitumia mfumo tofauti wa soka.
 
Timu zinashinda
na umiliki mdogo
Siku hizi kumiliki mpira sana si kigezo cha kupata ushindi kwenye mechi kubwa, kwa sababu makocha wengi wamekuwa na utamadani wa kiruhusu wapinzani wacheze na wao kuwaadhibu kwa mashambulizi ya kushtukiza.
 
Mfano mzuri Manchester United ya Ole Gunner Solskjear, imekuwa ikishinda mechi kubwa licha ya kuwa na umiliki mdogo wa mipira kwa sababu imekuwa ikiwaacha wapinzani wacheze na wao kutumia kasi ya washambuliaji wake kuwazuru.
 
Hispania si tishio tena
Kuna wakati watu Hispania ilitawala soka duniani ikichukua ubingwa wa Euro mara mbili na Kombe la Dunia mara moja, lakini sasa hivi taifa hilo halitishi tena, watu wamejua namna ya kuzuia mfumo wao wa tiki-taka.
 
Back
Top Bottom