Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562160186026.jpeg
 
Katika hali isiyo ya kawaida alhamisi hii iliyopita maharusi hao pichani nchini China ndoa yao imevunjikia ukumbini tukio likiendelea baada ya bwana harusi kuamua kumdhalilisha makusudi bibi harusi kwa kuweka video yake chafu ya ngono ukumbini akimsaliti kwa Kubanjuka na shemeji yake ili watu waone usaliti wa bibi harusi huyo ambaye alilala kimapenzi na mume wa dada yake ambaye ni mjamzito - - Video hiyo ya dakika 5 iliyokuwa clear bila chenga iliwashtua ndugu na marafiki wa pande zote huku iko-trend ambapo bwana harusi anasikika akimwambia bibi harusi ulidhani sijui uliyofanya ila najua. Bibi harusi alionekana kupandwa na hasira kisha kumtupia maua. Ilibidi watenganishwe - - Hata hivyo, mtandao mmoja wenye ushawishi nchini humo umeandika kuwa bwana harusi alikuwa akimnyanyasa bibi harusi kabla ya ndoa yao ambapo shemeji yaani mke wa dada yake ndipo aliingilia kuwapatanisha na ndipo wawili hao wakawa karibu na kuwa wapenzi wa siri kwani jamaa yake halisi alikuwa akimnyanyasa
IMG_20200102_183128.jpg
 
Back
Top Bottom