Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Tambua Dalili za kujinyonga*

Police Tabora yatangaza kuwasaka wanaotegemea kujinyonga.

1.kuzungumza kuhusu kujinyonga
2.kujitengatenga na kukaa peke yako peke yako
3.kuwa na mood isiyotabirika. Leo hivi kesho vile
4.kuwa na mawazo mwingi
5.kujisikia huna tumaini lolote
6.kunywa pombe kupita kawaida
7.Kuwaaga watu kama vile hamtakutana tena
8.Kuwa mkali kwa kitu kidogo tu
9.kuongea peke yako peke yako
*10. Kushabikia Simba*

Ukiona watu hao hasa namba 10 piga simu Polisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*Tambua Dalili za kujinyonga*

Police Tabora yatangaza kuwasaka wanaotegemea kujinyonga.

1.kuzungumza kuhusu kujinyonga
2.kujitengatenga na kukaa peke yako peke yako
3.kuwa na mood isiyotabirika. Leo hivi kesho vile
4.kuwa na mawazo mwingi
5.kujisikia huna tumaini lolote
6.kunywa pombe kupita kawaida
7.Kuwaaga watu kama vile hamtakutana tena
8.Kuwa mkali kwa kitu kidogo tu
9.kuongea peke yako peke yako
*10. Kushabikia Simba*

Ukiona watu hao hasa namba 10 piga simu Polisi.
 
Mashabiki Simba waifuata Yanga

Katika mechi ya watani wa jadi mashabiki wa Simba walionekana kuwa wengi kuliko wapinzani wao Yanga.

Kwenye Uwanja wa Taifa upande wa kaskazini ambapo kuna luninga kubwa hukaa mashabiki wa Simba.

Lakini katika upande wa Kusini hukaa mashabiki wa Yanga ambapo walionekana kujitokeza wachache kuliko wa wapinzani wao.
 
Mgumba kapata mimba basi mate mji mzima

Gongowazi bhana..
IMG-20200104-WA0064.jpeg
 
Back
Top Bottom