Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
*Tambua Dalili za kujinyonga*
Police Tabora yatangaza kuwasaka wanaotegemea kujinyonga.
1.kuzungumza kuhusu kujinyonga
2.kujitengatenga na kukaa peke yako peke yako
3.kuwa na mood isiyotabirika. Leo hivi kesho vile
4.kuwa na mawazo mwingi
5.kujisikia huna tumaini lolote
6.kunywa pombe kupita kawaida
7.Kuwaaga watu kama vile hamtakutana tena
8.Kuwa mkali kwa kitu kidogo tu
9.kuongea peke yako peke yako
*10. Kushabikia Simba*
Ukiona watu hao hasa namba 10 piga simu Polisi.
Mgumba kapata mimba basi mate mji mzima
Gongowazi bhana..