Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Mpole si mpaka achokozwe[emoji17][emoji2960][emoji2960][emoji3][emoji3] ban ya nini mbona unaonekana mpole
Hahaha huyu mzee bwana nahisi ka act bisexual ila ni kwa ajili ya kuua kupata chakula
Ni series ilikua na episode moja tu nahisi leo wametoa 3i need this girl
Huwa rangi zinawachanganya.*Simba sio kila mzungu ni coacher wengine ni mashahidi Wa yehova kule ulaya[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]*