capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
season one nafkiri ina episodes 3 tuNi series ilikua na episode moja tu nahisi leo wametoa 3
Hivi nimeelewa kweli?Hahaha huyu mzee bwana nahisi ka act bisexual ila ni kwa ajili ya kuua kupata chakula
Kagere ndio kaitoa golini kaenda kumpa refa lakini irizi ilikuwa sio yake [emoji38][emoji38]
Ilikuwa penalty halali wao wenyewe hawakatai hilo.Inadaiwa penati hii ilikuwa ya uongo.
Sikuona mpira.. msinihukumuView attachment 1312675
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nmeshangaa kuskia season1 imeishia hapo kwamba ni mini series
Nisamehe maana kwangu inaonesha umequote picha ingine kabisa ndo maana
[emoji16][emoji16][emoji16] balaa tena sio dogoNisamehe maana kwangu inaonesha umequote picha ingine kabisa ndo maana
Ila hilo gari litazua balaa[emoji38]
[emoji23][emoji23]Mama, inategemea bafu na bafu[emoji16][emoji16][emoji16] mabafu yetu haya ya uswahilini unaoga ka unakimbizwa, unajimwagia fasta nduki miguu unaenda kusugulia nje
Sent using Jamii Forums mobile app