Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Amin🙏🙏🙏Jumapili ya kwanza mwaka huu 2020.
Mwenyezi Mungu atujaalie kuzidiriki jumapili nyingine zote za mwaka huu tukiwa na afya njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa penalty halali wao wenyewe hawakatai hilo.
MWANAHABARI WA DW ADAIWA KULISHWA SUMU
> Deokaji Makomba amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma baada ya kufikishwa akiwa hajitambui
> Ndani ya Basi la Ally's alipewa vipande vya Biskuti na abiria aliyepanda njiani.
Sent using Jamii Forums mobile app