myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni yetu iwe njema
Moto huu wa Australia umegeuka janga kubwa sana. Kangaroo kaokwa akiwa hai
Muda mwingine inatakiwa hiyo bro
Hapana bro. Shimba ngosha maana yake Simba Dume. Atakuwa anatoka kule kule kanda pendwa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1313079
Inawezekana bro japo yawezekana pia ikawa siyo. Lugha za Kibantu nyingi zinafanana fanana...Kwa hiyo ni home boi