Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inawezekana bro japo yawezekana pia ikawa siyo. Lugha za Kibantu nyingi zinafanana fanana...
Simba dume mnasemaje katika lugha yako ya mama?
Nilijua tu kuwa utakuwa hujui. Kizazi kipya nyie ni changamoto sana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Ntauliza
Nilijua tu kuwa utakuwa hujui. Kizazi kipya nyie ni changamoto sana kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hili la kihaya bila shaka [emoji4][emoji4][emoji4]Guu la bia. Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1313126
AiseeGuu la bia. Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 1313126