Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji2][emoji2] angalia misumari isikuchome broEmbu ngoja niende kukagua tena [emoji16]
huenda ikawa hivi maana nilishtuka sana nikajiuliza ina maana wapo unregistered members zaidi ya 12.5M ambao wanakuja kutuchora tu tukiwa tunachat humuMember mmoja akifungua uzi mara 10 inahesabika 10 viewers....
NB: Nahisi
😂😂😂😂huenda ikawa hivi maana nilishtuka sana nikajiuliza ina maana wapo unregistered members zaidi ya 12.5M ambao wanakuja kutuchora tu tukiwa tunachat humu
hii nayo pia inawezekana kua labda kila uki log out ukirudi unasehabika tena kama viewer mpyapengine viewers wa huu mtandao wanahesabiwa kama youtube...
user mmoja anaweza kuangalia video zaidi ya mara moja
Nimefatilia vyema ila bado Moyo unakataa kwamba kuna Misumari[emoji2][emoji2] angalia misumari isikuchome bro
Tumia VAR broNimefatilia vyema ila bado Moyo unakataa kwamba kuna Misumari
past tenseHahah! Bradha kama Busquet tu, yeye humuini ila kazi anayopiga ni kubwa zaidi
Bro utaibiwa wewe stuka hapo kuna uwezekano wa msaada wa viinuzi mpaka wewe umeamini unavyoaminiTumia VAR bro
Wakorea wameamka sasapast tense
nimezungumzia uhalisia wa sasa ulivyoWakorea wameamka sasa
Vipi huyu De Jong unaonaje jinsi anaandaliwa kumrithi jamaa, atafaa?nimezungumzia uhalisia wa sasa ulivyo
amecheza soka la kiwango cha juu kwa miaka takribani 10 bila ya kupata ushindani wowote kuanzia klabu hadi national team (spain).
barcelona wameshindwa kutafuta mbadala wake