myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔✔Tabasamu chanuzi kolezi
Mithili ya mwezi mpevu
Ulioamua kuwamulikia
Wapenzi wapya wachanga
Waliojilaza chini ya mnazi
Ulio katikati ya shamba
Lenye minazi izaayo sana
- Ngosha The Don
View attachment 1313528