myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:16
Unakataa??Liar liar pants on fire [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1313663
Yawezekana...ila kabla ya hapo yeye wala Iran ilikuwa haijatajwa kuhusika na Septemba 11....na mashirika karibu yote ya kijasusi yamepinga sana kauli hii ya Mike Pence...
Jana imebidi nipumzike mapema, mapumziko yameisha...Nakuona Popo mida yako imefika
Duh! siasa hizi...Wakati wa kwenda kupiga magoti kuomba kura umekaribia...
View attachment 1313694