Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20190720-113131~2.jpeg
 
Eti unaitikia haswaa kama vile ulishawahi kuchunga [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijawahi kuchunga kwa kuwa sitokei kwenye jamii ya wafugaji, ningekuwa natokea huko ningechunga. Hata hivyo ulivyotaja kuchunga nimejiweka na mimi kwenye shughuli ambayo huwa nafanya nikishakula kiporo, naweka jembe shambani naenda kulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom