Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi naitafuta ban, if possible [emoji16][emoji16][emoji16]Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha
Ukute mtoa Mada ana familia na watoto Haiwezekani!www.jamiiforums.com
Hapa na tayar kamesharipoti
Hope Depal atanusurika na ban
Pale pale unaipata just andika mtukane hance fasta unalimwa. Soon tulioripotiwa tutakula moto wetu mtamu tuHata mimi naitafuta ban, if possible [emoji16][emoji16][emoji16]
DNA yake yeye ni kula na kulala tu...
Nimeshaanza kumchokoza. Nasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]Pale pale unaipata just andika mtukane hance fasta unalimwa. Soon tulioripotiwa tutakula moto wetu mtamu tu
Hahaha ban tamuNimeshaanza kumchokoza. Nasubiria [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi natamani Nile ban hata wiki moja hivi..Pale pale unaipata just andika mtukane hance fasta unalimwa. Soon tulioripotiwa tutakula moto wetu mtamu tu
Vamia uzi wowote unaowalalamikia mods andika ajira mpya janga la JF weuwee dakika mbili nyingi ushakula comment yako. Au nenda ule uzi celebrity quote hance andika kenge wewe ban nje njeMimi natamani Nile ban hata wiki moja hivi..
Hivi huwa unazipataje dada mpole?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 anataka umod nahisi ndio maana harudishii za usoHahahaa yule kijana ana ka uchizi kila kitu anarepoti
Aah nao walikuonea humu mjadala unaisha ndani ya comment tatu kisha story zinafuatia
Nitajaribu Hilo la ajira mpya..Vamia uzi wowote unaowalalamikia mods andika ajira mpya janga la JF weuwee dakika mbili nyingi ushakula comment yako. Au nenda ule uzi celebrity quote hance andika kenge wewe ban nje nje