Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Jua likiwaka shida.
Wapi huko? Nikaribishe angalau nikachochee moto...Ni kale kale katanashati ama kwingine?
Bora inyeshe walahJua likiwaka shida.
Mvua zikinyesha shida.
Mnataka nini wakazi wa Dar?
Ila anaefuta comments akianza kutembeza ban wakishua huponi 😂😂😂😂 sema dogo ana kiherehere mno![]()
Yule msanii wa Insta azidi kushushuka kila kukicha
Ukute mtoa Mada ana familia na watoto Haiwezekani!www.jamiiforums.com
Hapa na tayar kamesharipoti
Hope Depal atanusurika na ban
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Uwiii ban coming soon daah
Basi muda wote naangalia ile sms maarufuIla anaefuta comments akianza kutembeza ban wakishua huponi 😂😂😂😂 sema dogo ana kiherehere mno
😂😂😂Wapi huko? Nikaribishe angalau nikachochee moto...Ni kale kale katanashati ama kwingine?
Yaan hapo ikipigwa mpaka next monday ndo inaisha yelewiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duh!If he dies he dies [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1314050
Hahaha me Mara ya kwanza nilikutaga kosa kuharibu mjadala nikala ya siku 4 kama sio 5Basi muda wote naangalia ile sms maarufu
Oopsss we ran into some problems. You have been banned for the following reanson kumuita diamond wangu domo
Kile kijamaa mtaan kwake wana kazi mno itakua anawaripoti balaa
Pole in advance 😂😂😂Yaan hapo ikipigwa mpaka next monday ndo inaisha yelewiiiiii
Hahaha me Mara ya kwanza nilikutaga kosa kuharibu mjadala nikala ya siku 4 kama sio 5
Kosa lako we ni kuharibu jina la celebrity. Anarepot mpaka ambavyo haviitajiki kuwa reported
Hahaahha aiseeePole in advance 😂😂😂