Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya Cardi B kuweka wazi nia ya kuchukua uraia wa Nchini Nigeria, Amepokelewa kwa mikono miwili , Mwenyekiti wa tume ya Wa Nigeria waishio nje ya nchi, Abike Dabiri-Erewa Kupitia Mtandao wa Twitter ameweka wazi kuwa wapo tayari kumpokea Cardi B kama raia wa Nchi hiyo
 
Bobi Wine amekamatwa wakati akijiandaa kuwahutubia Wananchi ambapo alipanga kuwaeleza nia yake ya kugombea Urais dhidi ya Rais Yoweri Museveni ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 1986, Polisi wamefyatua risasi na mabomu ya machozi na kuwasambaratisha Watu wanaomuunga mkono. -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…