Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inabidi kumsikiliza vizuri. Pengine ana pointi za maana [emoji16][emoji16][emoji16]Ukizoea umarioo, hata dishi linayumba
Pole yake.
Inabidi kumsikiliza vizuri. Pengine ana pointi za maana [emoji16][emoji16][emoji16]Ukizoea umarioo, hata dishi linayumba
Pole yake.
Hapana [emoji16][emoji16][emoji16]Unataka mashindano? [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro, huwezi kumsemea mwanao wa kike maneno kama haya, tena publicInabidi kumsikiliza vizuri. Pengine ana pointi za maana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa "maselebriti" wanaishi katika dunia yao aisee. Mambo mengine wanayofanyaga yanashangaza...Bro, huwezi kumsemea mwanao wa kike maneno kama haya, tena public
Sana bro,dunia ni sinia,acha wapakue wanachowezaHawa "maselebriti" wanaishi katika dunia yao aisee. Mambo mengine wanayofanyaga yanashangaza...
Ameshatoa tangazo. Bila shaka mashugadadi hayatalaza damu...
Likely anampigia promo binti yake....Sana bro,dunia ni sinia,acha wapakue wanachoweza
Huyo mwanae mwenyew ni artist,huwa anajiimbisha imbisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kijana anashinda Saloon kunyoa nywele ila kwapa kalisahau kulifanyia palizi.
Angelikuwa Mbeya kingekuwa kinatema vibaya mno
Sent using Jamii Forums mobile app