Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464920665_60825.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto bado wako macho

Baharia akitoka hapo atakwambia alipiga mechi ya nguvu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Baharia kaelemewa na tunda la kimasikhara. Au labda afya mgogoro...au ni mwanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
“Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wangu ‘sugar dad’ ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha halafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa ‘bill’ zake”Gardner Habash.

Kuna watu walinyimwa akili aiseeView attachment 1314163View attachment 1314164

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh!

Zamani nilikuwa najua ukiwa na umri mkubwa unakuwa na busara sana.
Baba ndo anaongea maneno kama haya,daah!
Smh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko na upako shem[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi huu upako huwa haudumu...labda siku hizi kwa kuwa uzi umepwaya. Enzi zile za injini tokotokototooo mara kimdabuo mara fenesi aaa wapi...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom