Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2019-03-29%2012.02.40%202010163300193419973_9162661674.jpeg
 
Alipotelea wapi jamani? Kuna mtu alisema mahali kuwa jamaa mmoja mkosoaji sana wa serikali alidakwa JKNIA baada tu ya kutua akitokea ughaibuni. Uzi uliwekwa hapa JF na picha juu lakini ukafutwa fasta. Isije ikawa ni BAK wetu ...
Sijui kapotelea wapi huyu ndugu yetu. Hope all is well huko alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom