Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Aisee sijui. Nasafisha kompyuta yangu. Nimeikuta huko sijui Dogo Janja wala sielewi kitu aisee...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee sijui. Nasafisha kompyuta yangu. Nimeikuta huko sijui Dogo Janja wala sielewi kitu aisee...
Unaifananisha na ya huyu anayesukuma toroli ama?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umenifanya nirudi kuangalia pichaUnaifananisha na ya huyu anayesukuma toroli ama?
View attachment 1314276
Unaifananisha na ya huyu anayesukuma toroli ama?
View attachment 1314276
Duh..! Yuko ngoma droo na Waswidi,kawa mzungu kabisa.Oooh Mushumbusi...
View attachment 1314245
Alipotelea wapi jamani? Kuna mtu alisema mahali kuwa jamaa mmoja mkosoaji sana wa serikali alidakwa JKNIA baada tu ya kutua akitokea ughaibuni. Uzi uliwekwa hapa JF na picha juu lakini ukafutwa fasta. Isije ikawa ni BAK wetu ...
Zina matumizi gani?Mbilimbi [emoji39][emoji39]
AiseeOooh Mushumbusi...
View attachment 1314245
Nilifikiri umelimwa ban kwenye uzi wa kijana mtanashati [emoji16][emoji16][emoji16]Numbisa natest tag
Sijui kapotelea wapi huyu ndugu yetu. Hope all is well huko alipoAlipotelea wapi jamani? Kuna mtu alisema mahali kuwa jamaa mmoja mkosoaji sana wa serikali alidakwa JKNIA baada tu ya kutua akitokea ughaibuni. Uzi uliwekwa hapa JF na picha juu lakini ukafutwa fasta. Isije ikawa ni BAK wetu ...