The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Tumeshonanishwa milele...
View attachment 1315131
Coco unafahamu application yoyote ya kuweka chata kwenye picha?mfano hii,ndani yake naweka chata CR7View attachment 1314993
Mtoto anaminyama nyama naiangaliaUn* ananipa lote lote
Shukrani itanifaa kwa tecno yanguZipo nyingi, kwa Android naipenda sana PicsArt.
Lakini unaweza tumia online apps pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema huku bro. Mwaka mpya unaendeleaje huko chimboni kwako? Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Unaweza kuta nyuzi zilizo washonanisha ni kama njia za buibui
Bro kumekuchaje huko
😂😂😂😂 unataka kutupwa SegundaWanataka nipelekwe league za wakulima huko
#nakomaaboranikaebenchtukulikokuondoka
#etianasemaboraakaebench[emoji23][emoji23]