General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 829
haki sharti iendane na wajibu, kwa sababu haki yako ni wajibu wa mtu mwingine, haki ya mtu mwingine ni wajibu wako.
haki isitangulie sana, vile vile wajibu. viende pamoja.
cha mtu mavi, ila chako kile unacho mfukoni pako saa hii wee jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
haki isitangulie sana, vile vile wajibu. viende pamoja.
cha mtu mavi, ila chako kile unacho mfukoni pako saa hii wee jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app