Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hili joto tusipoiviana sijui....
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kutakua na ongezeko la joto kali katika baadhi ya maeneo ya Tanzania kufuatia kuwepo kwa hali ya unyevunyevu angani na jua kuwa la utosi.
β€’
TMA imeyataja maeneo yatakayoathirika zaidi kuwa ni ukanda wa pwani DSM, Tanga, Unguja na Pemba yanayotarajiwa kuwa na kiwango cha juu cha joto cha nyuzijoto 32 hadi 34.
_
Mkurugenzi Mkuu TMA, Dk Agnes Kijazi amesema vipindi vya joto kali vinatarajiwa kuendelea kuongezeka mwezi February 2020 wakati jua litakapokuwa la utosi.


All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Aiseeeh!![emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji179][emoji179]
If we make it or we don't, we won't be alone
When I see your light shine, I know I'm home



#Finally
#SasaOGlini.?




Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180][emoji180]

I got my eyes on you
You're everything that I see
I want your hot love and emotion endlessly......

#OGmpakanipateileyastatuskwanza
Jembekillo na Members wote wa likes tulikua tunaombi siku ya leo mtupigie hesabu tulipie bei gani ili mtuachie Uzi mimi na TH tu

NB: Ni siku moja tu

[emoji23][emoji23]
Kaanzisheni uzi wenu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
#namtaachanatu

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Aiseeeh!![emoji849][emoji849][emoji849]Kaanzisheni uzi wenu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
#namtaachanatu

All the good stuff happens outside our comfort zone.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…