Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumroga huyu wachawi mpaka wakusanyane [emoji16][emoji16][emoji16]
Whati izi zisi?
Homo Sapiens kiumbe wa ajabu sana. Halafu kasayari kenyewe haka haka kamoja hakuna mahali pa kukimbilia. Na ukiangalia vizuri hata kinachogombaniwa hukioni. Shwaiini kabisa !!!
Kumroga huyu wachawi mpaka wakusanyane [emoji16][emoji16][emoji16]
Whati izi zisi?
Hakuna maji huko. Maisha yatakuwa ya hati hati sana. Kuna ukosefu wa maji. Hewa ya Oksijeni. Vyakula. Vipingamizi ni vingi japo wanasema pengine itawezekana wakiweza kujenga mitambo ya kuzalisha maji, hewa na mifumo ya kuzalisha vyakula. Mars inafaa kama kituo tu cha kwenda hukooo mbali kwenye sayari rafiki kama itagundulika siku moja. Kwa sasa ni kubanana hapa hapa na makombora haya ya nyuklia ambayo kichaa mmoja akiamua kuyaripua basi tunatekezana wote.Hivi mchakato wa kuhamia sayari ya Mars unaendeleaje huko.
Kama bado wanahitajika watu nijurishe kamanda ingawa najua wahenga hatuhitajiki huko.
Dunia imekuwa mahali pa vitisho
Sent using Jamii Forums mobile app