Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Habari za asubuhi bro,
Natumaini siku imeanza vizuri hapo.
[emoji2][emoji2] yule nahisi ni #Parody hajarudi tena humu
#wacha_nikomae_na_ESTA
Hana mtu, pambana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wasukuma bwana,nafikiri ulikuwa mpango wa Muumba kuwafanya wawepo wasukuma watufurahishe kila siku [emoji23][emoji23]
Good luck...[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji109][emoji109][emoji109]
Bro una softcopy ya kitabu cha Malcom X? Nisaidie kama unacho
Enzi zangu yes. Siku hizi nimehamia kwa vimbaumbau tena natafuta kamoja ka kuzeeka nako. Haya matrela yatakuja kuniua [emoji16][emoji16][emoji16]
afadhali umerudi maana nlianza kupata hofuParody wametuharibia sana.
afadhali umerudi maana nlianza kupata hofu
WeEee...vitu vyako hivi ZE DONView attachment 1316939