moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Una ma amsha amsha ya jikoni😀😀😀😀No its copy and paste
Habari za asubuhi bro,
HeheheeUna ma amsha amsha ya jikoni😀😀😀😀
Nakusalimia Esta.
Mungu ni mwema, namshukuru.Hehehee
Marahabaaa
Za ulipo braza?
si umeshajifunza lakinNo its copy and paste
😃😃 yule nahisi ni #Parody hajarudi tena humu
Badosi umeshajifunza lakin
😃😃 yule nahisi ni #Parody hajarudi tena humu
#wacha_nikomae_na_ESTA
Admiral General,The Supreme leader
Ayatollah Ali Khamenei of IranView attachment 1316792
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mpango huo😂😂😂😂 kwani na wewe tayar?
#wamejimilikisha