Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ohio. Jamaa mmoja alipayuka Allahu Akbar Trump na walinzi wake wakapaniki. Wamemkamata jamaa akasema alikuwa anamtukuza Molla wake; na hana connection zo zote na magaidi. Tena ni Republican 100%
View attachment 1318093