capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Imam Mohammed Mutumba mkazi wa Kijiji cha Kyampisi, Uganda amepigwa butwaa baada ya kubaini mke aliyemuoa ni mwanaume. Alifunga ndoa na Swabullah Nabukeera wiki mbili zilizopita. Imefahamika ni mwanaume (Richard Tumushabe) alipofikishwa polisi na kupekuliwa akituhumiwa kwa wizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app