Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajafinywa huyu kuna mafundi anasuka kiasi ngozi inauma hata ukiweka maji haipoi mimi siwezi zangu kwa sasa tano kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja alinisuka ee bana anasuka huku anapiga story mara azinyanyue kuzibana mara ananisukuma kwa furaha ya kuchekeshwa na wenzie uwiii kulalamika kila muda mbona nilikoma sijamrudia tena
 
Sipendi msusi wa hivyo mimi nywele zikiuma safari za msalani haziniishi kila dakika 😄😄😄
 
Sipendi msusi wa hivyo mimi nywele zikiuma safari za msalani haziniishi kila dakika 😄😄😄
Uwiiii umenikumbusha kuna mmoja anakusuka akifika kati kati huyo anainuka choon halafu anarudi kuendelea kusuka yaan naonaga kama anapangusia mikono yake kwenye nywele zangu aah nikamhama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mvivu kukaa chini kwa mada mrefu rasta siziwezi jumlisha na maumivu ndio kabisa siku niliwaambia home naenda suka rasta walishangaa na kucheka wanajua uvivu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…