Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
For sureNights is so boring
Unamkimbia Mhenga ππππAlamsiki[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamkimbia Mhenga ππππ
Jamani! π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulichokunywa leo usikirudie tena
Hongera kwa kujifungua... Ukaweka mwanao as avatarFor sure
Ni amini mimi dada yako hao huwa hawasumbui kabisaaa usiogopeπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jizazi. Binti mpole dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kucha siwezi tengenezwa na mtu maana mtu akinishika miguu tu toko toko hiooo akhuuu ntaaibika mie
Ofu kozi [emoji16][emoji16]
Protokali haijakaa sawa kabisaHuyo mama kushoto ni Makamu wa Rais wa JMT[emoji16][emoji16]
View attachment 1320028
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa inategemea na mikono ya fundi ila huyu zake sio za masaa mengi sana hayazidi 3 kama nikimsuka mimi πππHuyu kachukua masaa mangapi? Wanawake kazi mnayo haki ya nani ...
View attachment 1320193
Asante kwa ufafanuzi mpendwaMasaa inategemea na mikono ya fundi ila huyu zake sio za masaa mengi sana hayazidi 3 kama nikimsuka mimi [emoji1][emoji1][emoji1]
Karibu na umlete mkeo nimsukeAsante kwa ufafanuzi mpendwa
Nitamleta...Na mimi mwenyewe nataka kusuka rasta. Nimechoka kunyoa kipara mpendwa [emoji16]Karibu na umlete mkeo nimsuke