Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ha ha ha nmeona..binti mpole aligeuka kuwa binti mkorofiKweli hakuna chazamani kwenye huu uzi mana muda wowote kinakua kipya...
Ila ombi langu lilipingwa vikali na kutupiliwa mbali
Hahah! Acha tu bro na kunireport walinireport kwa Mods π πHa ha ha nmeona..binti mpole aligeuka kuwa binti mkorofi
registered wapo 524,613Dah Jf noma views 13m reply 1m kwenye Uzi huu tu...
Huu mtandao una jumla ya member wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah! Kumbe kuna wanaoview awajawa registadi??registered wapo 524,613
Ha ha ha dah pole sana mzee, ndio harakat zenyewe hizoHahah! Acha tu bro na kunireport walinireport kwa Mods [emoji28][emoji28]
@ningendako ni bro au ni dada??Duh! Hapana bado sikuelewi ila nitakutafuta tuongee vizuri bro
Daah! Embu mtake radhi mzee mwenzangu
Hahah AhsanteHa ha ha dah pole sana mzee, ndio harakat zenyewe hizo
Aisee, unazingua bro
niliuliza swali kama lako humu juzi ila hatukupata majibu yenye uhakika, labda siku moja Mods wataelezea kinagaubaga kama huu uzi umekua viewed na visitors zaid ya 12.5MAh! Kumbe kuna wanaoview awajawa registadi??
Izo viewers jf wanapataje faida apo mkuu..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkongo upi mzee? Ule ule auAta jina lenyewe tu hajaliona kuwa limepaka Mkongo
πππ ule ule mzeeMkongo upi mzee? Ule ule au
ha ha jamaa alijua fursa hii, akuzamie PM chap πππJamaa anazingua, sijui kawaza nini hasa