Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
ha ha kuna hizi pipi za kongo, dada zetu watatutoa damu mwaka huu😂😂😂 ule ule mzee
Sema umewekwa hapo kuashiria uanaume wa Username
#Fasihi
ha ha kuna hizi pipi za kongo, dada zetu watatutoa damu mwaka huu😂😂😂 ule ule mzee
Sema umewekwa hapo kuashiria uanaume wa Username
#Fasihi
Kuna mzigo wa pipi tena siku hizi?ha ha kuna hizi pipi za kongo, dada zetu watatutoa damu mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23] ni hatar[emoji23][emoji23][emoji23] ule ule mzee
Sema umewekwa hapo kuashiria uanaume wa Username
#Fasihi
Hahah! Umesomeka mzee[emoji23][emoji23][emoji23] ni hatar
Tuachane naye bro, asije kuharbu siku asubuh asubuh
Duh.. kuna pipi tena [emoji2][emoji2]ha ha kuna hizi pipi za kongo, dada zetu watatutoa damu mwaka huu
ha ha zipo pipi ila ni kwa ajili ya wanawake, wakati sisi tunapambana na vumbi wao wanamumunya tu pipiKuna mzigo wa pipi tena siku hizi?
hata juzi nliona uzi humu wanazielezea, ila nafkiri umefutwa siuoni tenaDuh.. kuna pipi tena [emoji2][emoji2]
Huko tunakoelekea itakuwa hatar sanaha ha zipo pipi ila ni kwa ajili ya wanawake, wakati sisi tunapambana na vumbi wao wanamumunya tu pipi
#shughuliYakeNiPevu
Duh! Maisha yapo kasi sana, ukizubaa tu vitu vingi vinakupitaha ha zipo pipi ila ni kwa ajili ya wanawake, wakati sisi tunapambana na vumbi wao wanamumunya tu pipi
#shughuliYakeNiPevu
ni mwendo wa kukomoana jamaa kapaka mkongo dem kala pipi za kongoHuko tunakoelekea itakuwa hatar sana
Mwisho wa siku inakuwa karaha sio starehe tena broni mwendo wa kukomoana jamaa kapaka mkongo dem kala pipi za kongo
lazima damu imwagike hapo
ha ha ha dah aisee bro hata mimi naskia skia tu huko kwamba eti zinawaongezea hamasa zaidi.Duh! Maisha yapo kasi sana, ukizubaa tu vitu vingi vinakupita
#NatamaniKujuaKaziYaHizoPipi
THREADSDah Jf noma views 13m reply 1m kwenye Uzi huu tu...
Huu mtandao una jumla ya member wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata jina lenyewe tu hajaliona kuwa limepaka Mkongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkongo upi mzee? Ule ule au
watu hawaridhiki kabisa wanahisi kuna extra thing wanatakiwa kupataMwisho wa siku inakuwa karaha sio starehe tena bro