Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jumapili ni shwari hapa Igoma, karbuPoa kabisa,za jumapili?
Mungu amsimamie!N
Ndio huyo
AmenMungu amsimamie!
Hahaha wabhejaJumapili ni shwari hapa Igoma, karbu
Hahaha wabheja kulumba [emoji16][emoji16]Hahaha wabheja
Ha ha ha kilugha chetu simpo sana broHahah! Wabeja Kulumba
Kafanyaje?21 Savage is taking over like never before
Hakuna kipya bro yote yale yale, sema mimi mwenyewe tu nimechelewa kumfatiliaKafanyaje?
Jamaa anajua sana.ana mikwaju ya moto sanaHakuna kipya bro yote yale yale, sema mimi mwenyewe tu nimechelewa kumfatilia
Vilugha huwa vigumu sana bro labda ukae huko chimbo miaka kadhaaHa ha ha kilugha chetu simpo sana bro
Hakika bro yupo fit sana, mimi nilikua namchukulia poa sema baada yakumsikia kwenye Rockstar ya Post Malone ndio akanishtuaJamaa anajua sana.ana mikwaju ya moto sana
Makavu live
Kwani Diego Simion amesemaje? [emoji2]
Diego anataka kwenda vitani Iran sasa Messi wa nini wakati yeye ni footballer?Habari za kupikwa hizo Bro [emoji23]